Thursday, May 15, 2014
WAREMBO WAKIHOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SIKU YAO YA VIPAJI
Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi la pamoja.
Warmbo wakifanya mahojiano na mwaandishi wa Clouds Tv
Mratibu wa mashindano ya Miss Dar City Centre 2014 Judith Charles akihojiwa na waandishi wa habari, kushoto ni mmoja wa wazamini wa Miss Dar City Centre 2014 Marketing Manager wa Maisha Club Gilla Geofrey, Upande wa kulia ni Mwalimu Msaidizi wa warembo Thureya
Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.