Tunawaomba
msamaha kwa mabadiriko yaliyotokea ya eneo la kufanyia shughuli ya Miss
Dar City Centre 2014, Mwanzo ilikuwa Escape One na Sasa tunafanyia Dar
es Salaam Free Market (Century Cinema) karibu na ubalozi wa Kenya.
Asante kwa ushirikiano wako, tunaomba mje kwa wingi tushuhudie nani ni nani kwenye mchuano huu kabambe.
Asante kwa ushirikiano wako, tunaomba mje kwa wingi tushuhudie nani ni nani kwenye mchuano huu kabambe.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.