Wednesday, September 20, 2017
Saturday, August 27, 2016
WAREMBO WATANO WA ILALA WENYE VIPAJI
PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI - MISS ILALA TALENT SHOW-26 AUG 2016
Chief Judge akisoma matokeo ya walioingia Tano bora |
Mwalimu na vilevile ndie aliekuwa Mc wa shindano hili la kumtafuta mrembo mwenye kipaji. |
Wadau wakifuatilia mchuano kwa makini zaidi |
Baadhi ya wadau ya masuala ya urembo na mitindo wakishuhudia mpambano mkali wa warembo, wakichuana kutwaa taji la mwenye kipaji. |
Mratibu wa Miss Dar City Centre 2016 Nancy au Super Model akiwa na mwenzake wakifuatilia kwa karibu mchuano wa kumtafuta malkia mwenye kipaji...Miss Ilala 2016 Talent Show |
Warembo wa Ilala mwaka 2016 wakiwa mbele ya majaji wakisiliza matokeo yao nani kawa nani nani kapita nani kabaki..Talent Show |
Warembo wa Miss Ilala 2016 wakiwa katika picha ya pamoja ya utambulisho kabla ya kuanza kwa mchuano wa kumtafuta malkia mwenye kipaji kupita wenzake. |
MISS ILALA 2016 @HYATT REGENCY-KILIMANAJRO
Wednesday, October 1, 2014
REDD'S MISS TANZANIA 2014 SPORTS DAY BONANZA AND CHARITY
Tuesday, May 20, 2014
MISS DAR CITY CENTRE 2014 @ DAR ES SALAAM FREE MARKET
Tunawaomba
msamaha kwa mabadiriko yaliyotokea ya eneo la kufanyia shughuli ya Miss
Dar City Centre 2014, Mwanzo ilikuwa Escape One na Sasa tunafanyia Dar
es Salaam Free Market (Century Cinema) karibu na ubalozi wa Kenya.
Asante kwa ushirikiano wako, tunaomba mje kwa wingi tushuhudie nani ni nani kwenye mchuano huu kabambe.
Asante kwa ushirikiano wako, tunaomba mje kwa wingi tushuhudie nani ni nani kwenye mchuano huu kabambe.
Thursday, May 15, 2014
WAREMBO WAKIHOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SIKU YAO YA VIPAJI
Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi la pamoja.
Warmbo wakifanya mahojiano na mwaandishi wa Clouds Tv
Mratibu wa mashindano ya Miss Dar City Centre 2014 Judith Charles akihojiwa na waandishi wa habari, kushoto ni mmoja wa wazamini wa Miss Dar City Centre 2014 Marketing Manager wa Maisha Club Gilla Geofrey, Upande wa kulia ni Mwalimu Msaidizi wa warembo Thureya
Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi.
Subscribe to:
Posts (Atom)